Pages

December 2, 2014

ARUSHA WASHUHUDIA MVUA YA MAWE

Wakazi wa jiji la Arusha eneo la Ofisi za CCM mkoa wakishuhudia mawe ya mvua iliyonyesha jana na kuwashangaza wengi ikitajwa kuwa ni jambo ambalo halijatokea kwa muda mrefu

Mkazi wa jiji la Arusha akishuhudia mawe ya mvua iliyonyesha jana na kuwashangaza wengi ikitajwa kuwa ni jambo ambalo halijatokea kwa muda mrefu



No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...