| Wakazi wa jiji la Arusha eneo la Ofisi za CCM mkoa wakishuhudia mawe ya mvua iliyonyesha jana na kuwashangaza wengi ikitajwa kuwa ni jambo ambalo halijatokea kwa muda mrefu |
| Mkazi wa jiji la Arusha akishuhudia mawe ya mvua iliyonyesha jana na kuwashangaza wengi ikitajwa kuwa ni jambo ambalo halijatokea kwa muda mrefu |

إرسال تعليق