Wanyamapori aina Tembo wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire inayopatika kwenye mikoa ya Manyara na Arusha ni kivutio kikbwa kwa wageni wanaotembela hifadhi hiyo. |
Wanyamapori aina Tembo wakiwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire inayopatika kwenye mikoa ya Manyara na Arusha ni kivutio kikbwa kwa wageni wanaotembela hifadhi hiyo. |
Miti aina ya Mibuyu inaonekana kwa wingi na inaongeza mvuto kwenye hifadhi ya Taifa Tarangire. |
Kundi la Tembo likinywa maji ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire. |
Pundamilia ni sehemu ya kivutio cha watalii wa ndani na nje ya nchi . |
Ndege aina ya Kanga |
Msururu wa magari ya watalii ukisubiri utaratibu wa malipo kwa njia ya kadi kuanza safari ya kutembelea hifadhi hiyo |
Watalii wakiwa ndani ya Hifadhi |
No comments:
Post a Comment