Pages

October 6, 2013

HIVI NDIVYO VITUKO VYA RAIS BARACK OBAMA, AKIKATIZA MTAANI ILI KUNUNUA SANDWICH

RAIS wa Marekani, Barack Obama akikatiza katika maungio ya barabara ya 17 na Pennsylvania Avenue jijini Washington, D.C.

Baada ya kutoka kwenye mgahawa wa mtaa wa jirani kununua sandwich katika tukio lililojitokeza Oktoba 4,2013.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...