Pages

October 6, 2013

NAIBU KATIBU KATIBU AWAASA WAENDESHA BODABODA KUKOPA KWAAJILI KUJIENDELEZA KIBIASHARA.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo,Profesa Elisente Ole Gabriel akizungumza na wanachama wa chama cha waendesha Pikipiki maarufu "Bodaboda" kwenye ukumbi wa Polisi Mess jijini Arusha na kuwataka kujiunga kwa pamoja kukopa fedha za mfuko wa vijana katika halmashauri ya jiji.


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo,Profesa Elisente Ole Gabriel kushoto akisalimiana na dereva na pikipiki za biashara "bodaboda" baada ya kuzungumza nao ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha vijana kutumia fursa zilizopo kujipatia kipato kwa njia halala na kufata sheria za barabarani.


Naibu Katibu Mkuu,Wizara ya Habari,Utamadunu na Michezo,Profesa Elisante Ole Gabriel akijaribu kupanda moja ya Pikipiki ya mmoja wa wafanyabiashara wa kubeba abiria jijini Arusha baada ya kuzungumza nao ikiwa ni itimisho la ziara yake ya siku tano mkoa Arusha.

Naibu Katibu Mkuu,Wizara ya Habari,Utamadunu na Michezo,Profesa Elisante Ole Gabriel(katikati) akiwa akiendesha  moja ya Pikipiki ya mmoja wa wafanyabiashara wa kubeba abiria jijini Arusha baada ya kuzungumza nao ikiwa ni itimisho la ziara yake ya siku tano mkoa Arusha.

Wanachama wa chama cha waendesha Pikipiki jijini Arusha wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...