Pages

October 7, 2013

MTIBWA SUKARI YAKATISHWA MIWA NA YANGA MARA BAADA YA KUPOKEA KICHAPO CHA GOLI 2 KWA NUNGE


Hadi mwisho wa mchezo ubao ulisomeka hivi.
Mrisho Ngasa akimtoka beki wa Mtibwa Sugar Paul George.
 Mashabiki wa Yanga.
 Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Paul George.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia kwa staili ya aina yake
baada ya mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa kuifungia timu yake bao la kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara shidi ya Mtibwa sugar uliofanyika leokwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0. Picha na Francis Dande 
na John Dande

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...