NAPE AKUTANA NA MADIWANI NA WAJUMBE WA KAMATI ZA SIASA BUHIGWE NA KIBONDO

 


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Ndugu Charles Gishuli .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na madiwani wa CCM na Wajumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Buhigwe.
Madiwani na Wajumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Buhigwe waliohdhuria kikao kilichoongozwa na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akivishwa skafu alipowasili katika ofisi za CCM wilaya ya Kibondo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisaini kitabu cha wageni katika za ofisi za CCM wilaya ya Kibondo sanjali na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk.Amani Kaborou.
 
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati mkutano na madiwani na wajumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya Kibondo

Post a Comment

Previous Post Next Post