MADIWANI WANNE WA CHADEMA WALA KIAPO LEO JIJINI ARUSHA

Diwani mpya wa Kata ya Themi Jijini Arusha,Melace Kinabo(Chadema)akila kiapo mapema leo kwenye ofisi ya Jiji.

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Arusha,Hawa Mguruta(kushoto)akimpa hati ya kiapo diwani mpya wa Kata ya Kaloleni Jijini Arusha.

Meya wa Jiji la Arusha,Gaudence Lyimo(kushoto)akimpongeza Diwani wa Kata ya Kaloleni,Emmanuel Kessy baada ya kuapishwa.

Diwani wa Kata ya Kimandolu jijini Arusha akisalimiana na Diwani mwenzake  wa Kata ya Terat,Sekayan.

Mbunge wa Arusha,Godbless Lema akishuhudia madiwani wa chama chake wakiweka saini.

Picha ya pamoja 

Post a Comment

Previous Post Next Post