Ad

MIILI YA ASKARI POLISI 3 WALIOFARIKI KWA AJALI MORO YAAGWA

Miili ya askari polisi watatu waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Oktoba 8, 2026, eneo la Magole, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, imeagwa  Oktoba 10, 2026, katika Viwanja vya Makao Makuu ya Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU).

Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Nchini pamoja na Askari  walipata fursa ya kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu kabla ya safari yao ya mwisho.










Post a Comment

Previous Post Next Post