Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia wananchi na WanaCCM
katika Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Kusini Unguja Jimbo
la Makunduchi katika uwanja wa mpira wa Jamhuri.
Baadhi
ya wanaCCM waliohudhuria katika Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM
Jimbo la Dimani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakimskiliza mgeni rasmi
katika mkutano huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa
akizungumza nao leo katika uwanja wa mpira wa Dimani.

إرسال تعليق