RC Gama na viongozi wengine wakisikiliza nyimbo iliyokuwa ikiimbwa na kwaya ya shule ya sekondari Olele wilayani Rombo. |
Jengo la Ukumbi wa Chakula lililojengwa kwa ufadhili wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) katika shule ya sekondari Olele wilayani Rombo. |
Meneja Ujirani Mwema kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Ahmed Mbugi akitoa taarifa kuhusiana na ujenzi wa ukumbi wa Chakula katika shule ya sekondari Olele. |
Baadhi ya wananchi katika kata ya Olele. |
RC,Gama na DC,Kipuyo wakilowa kutokana na mvua iliyokuwa ikiendelea kunyesha. |
Wanafunzi katika shule ya sekondari Olele wakifuatilia hotuba ya viongozi waliofika shuleni hapo kwa ajili ya makabidhiano ya ukumbi wa chakula uliojengwa na TANAPA. |
Mkuu wa wilaya ya Rombo ,Lembris Kipuyo akizungumza katika hafla hiyo. |
Wakazi wa kata ya Olele. |
Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro ,Leonidas Gama akikagua jengo hilo. |
Na Dixon Busagaga wa Globu aya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment