Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha Mfuko wa cha Taasisi ya utoaji mikopo (UTT
Microfinance Institution – UTT MFI),Mary Kipeja akitoa maelezo kwa
Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) juu ya fursa za kupata mikopo ilyzoko katika taasisi hiyo jijini Arusha katika Mkutano Mkuu wa chama hicho.Picha na Ferdinand Shayo |
No comments:
Post a Comment