Pages

May 29, 2015

JIJI LA ARUSHA LAFURIKA WANANCHI KUSHUHUDIA WAZIRI MKUU WA ZAMANI,EDWARD LOWASSA AKITANGAZA NIA YEKE YA KUWANIA URAIS TANZANIA

Wananchi wakiangalia moja ya picha zilizowekwa kwenye lango Kuu la kuingia kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,kesho Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa anatarajiwa kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi kupeperusha bendera kwenye uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Gari lenye vifaa mbalimbali kwaajili ya tukio la kesho likiingia kwenye uwanja huo.Vituo mbalimbali vinatarajiwa kurusha matangazo hayo moja kwa moja.


Mwonekano wa uwanja wa Sheikh Amri Abeid unavyoonekana leo kwaaji ya maandalizi ya tukio la kesho.Habari Picha na www.rweyemamuinfo.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...