UTT Microfinance Institution – UTT MFI kutoa mikopo kwa Walimu ili kuboresha maisha yao

Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha Mfuko wa cha Taasisi ya  utoaji mikopo  (UTT Microfinance Institution – UTT MFI),Mary Kipeja akitoa maelezo kwa  Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) juu ya fursa za kupata mikopo ilyzoko katika taasisi hiyo  jijini Arusha  katika Mkutano Mkuu wa chama hicho.Picha na Ferdinand Shayo

Post a Comment

Previous Post Next Post