Pages

September 21, 2014

TAMASHA LA TATU LA ARUSHA AFRICAN FILM FESTIVAL(AAFF)LAFANA,KAMPUNI YA SIMU YA TIGO YATOA UDHAMNI MNONO

   
Mkurugenzi wa kampuni ya simu ya Tigo,Kanda ya Kaskazini,David Charles akizungumza wakati wa Tamasha la tatu kufanyika jijini Arusha jana usiku katika hoteli ya New Arusha.

Mwenyekiti wa East African Film Network(EAFN)kutoka nchini Burundi,Leonce Ngabo  akizungumza wakati wa Tamasha la tatu kufanyika jijini Arusha jana usiku katika hoteli ya New Arusha.

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Port Harcourt nchini Nigeria,Emmanuel Emasealu akizungumzia umuhimu wa filamu zenye maudhui ya kiafrika  wakati wa Tamasha la tatu kufanyika jijini Arusha jana usiku katika hoteli ya New Arusha.

Wadau wa Filamu wakifurahia jambo

Wageni kutoka mataifa mbalimbali wakisoma vipeperushi vinavyozungumzia tamasha hilo

Burudani hadi kwa wageni waalikwa

Burudani kutoka kwa AfriCulture group ya jijini Arusha

Mkurugenzi wa kampuni ya simu ya Tigo,Kanda ya Kaskazini,David Charles akipongezana na wadau tasnia ya Filamu kutoka nchi mbalimbali.

Wadau wakifatilia Filamu zilizokuwa zikionesha kwenye tamasha hilo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...