| Mkurugenzi wa kampuni ya simu ya Tigo,Kanda ya Kaskazini,David Charles akizungumza wakati wa Tamasha la tatu kufanyika jijini Arusha jana usiku katika hoteli ya New Arusha. |
![]() |
| Mwenyekiti wa East African Film Network(EAFN)kutoka nchini Burundi,Leonce Ngabo akizungumza wakati wa Tamasha la tatu kufanyika jijini Arusha jana usiku katika hoteli ya New Arusha. |
![]() |
| Wadau wa Filamu wakifurahia jambo |
![]() |
| Wageni kutoka mataifa mbalimbali wakisoma vipeperushi vinavyozungumzia tamasha hilo |
![]() |
| Burudani hadi kwa wageni waalikwa |
![]() |
| Burudani kutoka kwa AfriCulture group ya jijini Arusha |
![]() |
| Mkurugenzi wa kampuni ya simu ya Tigo,Kanda ya Kaskazini,David Charles akipongezana na wadau tasnia ya Filamu kutoka nchi mbalimbali. |
![]() |
| Wadau wakifatilia Filamu zilizokuwa zikionesha kwenye tamasha hilo. |









إرسال تعليق