Meneja Mwajiri wa Kiwanda cha A to Z,Robert Abeid akizungumza jambo na waandishi wa habari wa mkoa wa Arusha kwenye Chuo cha Misitu Olmotonyi ambao hutumia matawi ya miti hiyo kuchemsha maji |
Mfanyakazi wa kiwanda cha A to Z akichochea kuni kuchemsha maji ili kupata mvuke wa kutengeneza nyuzi za kutengeneza Vyandarua |
Mtaalamu wa kutengeneza mifuko akiwapa maelezo waandishi wa habari mkoa wa Arusha waliotembelea Kiwanda cha A to Z kilichopo eneo la Kisongo wilayani Arumeru |
David Rwenyagira akiangalia Machine inayotengeneza mifuko 1000 kwa dakika moja |
Hata mifuko ya kiwanda maarufu cha Saruji hutengenezwa A to Z |
Mwenyekiti wa Arusha Press Club(APC)Claud Gwandu akimsikiliza mtaalamu wa kutengeneza mifuko ya Saruji kutoka Austria,Andreas Weiss |
Robert Abeid akizungumza na waandishi wa habari kiwandani A to Z |
Meneja Mwajiri wa Kiwanda cha A to Z,Robert Abeid akiwaonesha waandishi wa habari mkoa wa Arusha waliotembelea kiwanda hicho kujifunza utendaji kazi |
Meneja Mwajiri wa A to Z,Robert Abeid(kushoto) akifurahia wakati wa ziara ya Klab ya waandishi wa habari mkoa wa Arusha(APC)katikati ni Mwenyekiti wa APC,Claud Gwandu na Mustafa Leu(Radio Uhuru) |
Meneja Mwajiri wa A to Z akifurahia wakati wa ziara ya Klab ya waandishi wa habari mkoa wa Arusha(APC)kutoka kushoto ni Prisca Libaga(Maelezo) na Asraji Mvungi(ITV)Charles Ngeleza(Nipashe) |
Meneja Mwajiri wa Kiwanda cha A to Z,Robert Abeid(katikati)akiwaongoza waandishi wa habari kutembelea kiwanda hicho. |
No comments:
Post a Comment