Pages

September 25, 2014

SHIRIKA LA NDEGE LA FASTJET LAANZISHA SAFARI MPYA KATI YA DAR ES SALAAM TANZANIA NA ENTEBE , UGANDA

Captain Sagar Chavda ambaye ndiye Muongozaji wa Ndege Kutoka Dar es salaam kuelekea Entebe
Jean Uku Commercial Manager akiwa anaongea na wateja wa Fastjet
Kushoto ni Jean Uku Commercial Manager wa Fastjet na Jimy Kibati General Manager wa Fastjet wakizindua Rasmi safari za Kwenda Entebe kutokea Dar es salaam
Wageni wakikaribishwa katika Ndege ya Fastjet kutokea Dar kwenda Entebe
Timu nzima ya Fastjet Baada ya sherehe fupi za uzinduzi huo
Ndege kati ya miji hii mikuu miwili zitaruka siku za Jumanne na Alhamisi kwa wiki za kwanza za mwezi Septemba na zinatarajiwa kuongezwa hadi mara nne kwa wiki kuanzia tarehe 29 Septemba.
Entebbe inakuwa kituo cha nne cha kimataifa kwa Fastjet ukitoa Harare, Johanesburg na Lusaka.
Mwelekeo huu mpya utapaisha ndege za moja kwa moja kati ya Entebbe na Dar es salaam kwa bei murua kabisa ukilinganisha na mashirika mengine ya ndege ambayo hutoa huduma zisizo za moja kwa moja kati ya miji hii mikubwa miwili.
Tiketi za safari hii zinapatikana kupitia www.fastjet.com kwa bei ya chini kabisa ya kuanzia Tshs. 80,000/= kwa safari moja (bila kodi).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...