Pages

September 25, 2014

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGE MAALIM LA KATIBA MJINI DODOMA

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep. 24, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo na Ahmed Shabiby wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizunguma na mjumbe wa Bunge la Bunge Maalum la Katiba, Margaret Sitta,kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Esther Juma (Wanne kushoto ) na Mabinti wa mbunge huyo, Nandoye Laban (kushoto), Imani Laban (wapili kushoto) na Lulu Laban (watatu kushoto) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Wapili kulia ni mjumbe wa Bunge la Bunge Maalum la Katiba, Margaret Sitta.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Esther Juma (Wanne kushoto ) na Mabinti wa mbunge huyo, Nandoye Laban (kushoto), Imani Laban (wapili kushoto) na Lulu Laban (watatu kushoto) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Peter Serukamba na Said Juma Nkumba (kushoto) wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014.
Wajumbe wa Bunge maalum la katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Paul Makonda wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Kutoka kushoto ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Ridhiwani Kikwete wakifurahia jambo katika mazungumzo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014.




Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na John Momose Cheyo wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...