Paul Pogba akirudi juu na kupiga kichwa akiifungia Ufaransa bao la kwanza dhidi ya Nigeria.
NIGERIA
maarufu kama Super Eagles imetupwa nje ya kombe la dunia baada ya
kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Ufaransa usiku huu katika
mchezo wa hatua ya 16.
Paul
Pogba aliifungia Ufaransa bao la kuongoza katika dakika ya 78, huku
beki wa Nigeria, Joseph Yobo akijifunga bao katika dakika za lala
salama mjini Brasilia.
Paul Pogba akinyosha vidole juu baada ya kuifungia Ufaransa
Kikosi cha France: Lloris, Debuchy, Varane, Koscielny, Evra, Pogba, Cabaye, Matuidi, Valbuena, Giroud, Benzema.
Wachezaji wa akiba: Ruffier, Landreau, Sakho, Cabella, Griezmann, Mavuba, Mangala, Sagna, Digne, Sissoko, Remy, Schneiderlin.
Mfungaji: Pogba, 78, Yobo OG, 90+2
Kikosi cha Nigeria: Enyeama, Ambrose, Yobo, Oshaniwa, Omeruo, Musa, Onazi, Mikel, Moses, Odemwingie, Emenike.
Wachezaji wa akiba: Ejide, Agbim, Uzoenyi, Gabriel, Egwuekwe, Odunlami, Oboabona, Azeez, Nwofor, Uchebo,
Ameobi.
Mwamuzi: Mark Geiger (USA)
No comments:
Post a Comment