 |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa viongozi wengine wakuu wa serikali chama
cha Mapinduzi CCM, akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman
Kinana (kushoto) katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Waziri mkuu wa
Tanzania mara mbili katika awamu mbili tofauti, Mzee Cleopa David
Msuya (wa kwanza kulia kwa Rais) ambaye amestaafu rasmi siasa baada ya
kuitumikia kwa zaidi ya miaka 33. |
Katibu wa
CCM, wilaya ya Mwanga, akisoma historia fupi ya Mzee Msuya kabla na
baada ya kujiunga na siasa
 |
| Baadhi ya Wananchi waliohudhuria hafla hiyo
iliyofanyika katika Ofisi za CCM wilaya ya Mwanga |
Mjumbe wa Halmashauri kuu wa CCM
wilaya ya Mwanga, Joseph Thadayo akitoa salamu za marafiki na wasomi
waishio nje ya Mwanga, ikiwemo salamu za Mwanasiasa maarufu na
mdhamini wa CCM, Mzee Peter
Kisumo ambaye aliwahi kufanya kazi pamoja na mzee Msuya katika Siasa.
Mzee Msuya akitoa
pongezi zake kabla ya kuaga rasmi.
 |
| Kundi la wazee wa kimila wakiongozwa na Mzee
Kasim Msemo wakimkaribisha Mzee Msuya kijijini
|
Rais Kikwete
akizungumza na wananchi katika hafla ya kumuaga Mzee Msuya katika
ulingo wa siasa, uliofanyika katika ofisi za CCM wilaya ya
Mwanga.
Mamia ya
Wananchi waliokusanyika kushuhudia hafla hiyo
Picha zote na Dixon Busagaga wa
Globu ya Jamii kanda ya kaskazini.
إرسال تعليق