![]() |
| Diwani mpya wa Kata ya Themi Jijini Arusha,Melace Kinabo(Chadema)akila kiapo mapema leo kwenye ofisi ya Jiji. |
![]() |
| Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Arusha,Hawa Mguruta(kushoto)akimpa hati ya kiapo diwani mpya wa Kata ya Kaloleni Jijini Arusha. |
![]() |
| Meya wa Jiji la Arusha,Gaudence Lyimo(kushoto)akimpongeza Diwani wa Kata ya Kaloleni,Emmanuel Kessy baada ya kuapishwa. |
![]() |
| Diwani wa Kata ya Kimandolu jijini Arusha akisalimiana na Diwani mwenzake wa Kata ya Terat,Sekayan. |
![]() |
| Mbunge wa Arusha,Godbless Lema akishuhudia madiwani wa chama chake wakiweka saini. |
![]() |
| Picha ya pamoja |







إرسال تعليق