MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO YATANGAZA KIAMA KWA MAJANGILI

Kaimu Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)Bruno Kawasange akizungumza wakati wa sherehe za kuhitimu askari wanyamapori  wilayani Karatu mkoa wa Arusha,kushoto ni Mkuu wa Idara Uandisi,Eng.Mallya.

Mbunge wa Ngorongoro,Saning'o Ole Telele akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Mamlaka ya Ngorongoro.

Mbunge wa Ngorongoro,Saning'o Ole Telele akimwagilia mche wa mti alioupanda kama kumbukumbu kwenye kijiji cha Kitete wilayani Karatu.

Mbunge wa Ngorongoro,Saning'o Ole Telele(kushoto)akimsikiliza Afisa Misitu Mwandamizi wa NCAA,Dickson Macha wakati akikagua bustani ya miche ambayo wananchi hupewa bure ili kutunza mazingira na kuepusha uharibifu wa mazingira ya msitu wa Mamlaka hiyo,kulia mi Meneja wa huduma za Uandisi,Eng.Mallya

Mbunge wa Ngorongoro,Saning'o Ole Telele(alishika fimbo)akikagua bustani ya miche ambayo wananchi hupewa bure ili kutunza mazingira na kuepusha uharibifu wa mazingira ya msitu wa Mamlaka hiyo

Kikosi cha askari wakionesha ukakamavu mbele ya mgeni rasmi,mbunge wa Ngorongoro,Saning'o Ole Telele

Wahitimu wakionesha namna ya kutumia mbinu za kijeshi kuwalinda wanyamapori wanaotishiwa kutoweka na majangili.

Wahitimu wakionesha mbinu za kuwadhibiti majangili.

Wakionesha mbinu za kukabiliana na majangili kwenye hifadhi.

Picha ya pamoja ya mgeni rasmi,uongozi wa NCAA na wahitimu wapatao 34.

Wananchi wa Kijiji cha Kitete,Kata ya Mbulumbulu wilaya ya Karatu wakifatilia gwaride la wahitimu.

Post a Comment

Previous Post Next Post