![]() |
| Mbunge wa Ngorongoro,Saning'o Ole Telele akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Mamlaka ya Ngorongoro. |
![]() |
| Mbunge wa Ngorongoro,Saning'o Ole Telele akimwagilia mche wa mti alioupanda kama kumbukumbu kwenye kijiji cha Kitete wilayani Karatu. |
![]() |
| Mbunge wa Ngorongoro,Saning'o Ole Telele(alishika fimbo)akikagua bustani ya miche ambayo wananchi hupewa bure ili kutunza mazingira na kuepusha uharibifu wa mazingira ya msitu wa Mamlaka hiyo |
![]() |
| Kikosi cha askari wakionesha ukakamavu mbele ya mgeni rasmi,mbunge wa Ngorongoro,Saning'o Ole Telele |
![]() |
| Wahitimu wakionesha namna ya kutumia mbinu za kijeshi kuwalinda wanyamapori wanaotishiwa kutoweka na majangili. |
![]() |
| Wahitimu wakionesha mbinu za kuwadhibiti majangili. |
![]() |
| Wakionesha mbinu za kukabiliana na majangili kwenye hifadhi. |
![]() |
| Picha ya pamoja ya mgeni rasmi,uongozi wa NCAA na wahitimu wapatao 34. |
![]() |
| Wananchi wa Kijiji cha Kitete,Kata ya Mbulumbulu wilaya ya Karatu wakifatilia gwaride la wahitimu. |












إرسال تعليق