|
Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)mkoani Arusha,Adam Akyo akizungumzia maajabu ya mchanga unaosafiri(Shifting Sand)ambacho ni kivutio kikubwa kwa watalii wa nje na ndani ya nchi hali ambayo imeifanya Hifadhi hiyo kuwa miongoni mwa Majabu saba ya Afrika.Picha zote na Filbert Rweyemamu |
Watalii wa ndani wakifurahia mandhari ya mchanga wa ajabu unaosafiri ndani ya mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro,mkoani Arusha
Watalii wa ndani wakifurahia mandhari ya mchanga wa ajabu unaosafiri ndani ya mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro,mkoani Arusha
Ukifika ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro utawaona wanyama wa aina mbalimbali wakiwemo Twiga na Pundamilia
No comments:
Post a Comment