EAC-EABC na GIZ waandaji wa mafunzo kwa waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika Mashariki ulioanza leo kwenye hoteli ya East Africa jijini Arusha |
Mwandishi mkongwe kutoka visiwa vya Zanzibar,Salim Salim akitoa mada leo
Mkuu wa mafunzo kwa vyombo vya Habari wa EAC,Suckhdev Chatbar akishauriana jambo nani Meneja wa Shirika la Ujerumani la Deutsch Gesellschaft Fur International Zusammenarbeit (GIZ)Christine Von Harrach
Katibu Mtendaji wa East African Business Council(EABC)Andrew Luzze akizungumza juu ya changamoto zinawakabili wafanyabiashara kwenye mipaka ya nchi wanachama wa Afrika Mashariki(EAC)
Waandishi wa habari,Adam Ihucha wa The East Africa(kulia)akifurahia jambo na mwandishi kutoka Uganda
Mkuu wa mafunzo kwa vyombo vya Habari wa EAC,Suckhdev Chatbar akishauriana jambo nani Meneja wa Shirika la Ujerumani la Deutsch Gesellschaft Fur International Zusammenarbeit (GIZ)Christine Von Harrach
Mkuu wa mafunzo kwa vyombo vya Habari wa EAC,Suckhdev Chatbar akishauriana jambo nani Meneja wa Shirika la Ujerumani la Deutsch Gesellschaft Fur International Zusammenarbeit (GIZ)Christine Von Harrach
Wimbo wa Jumuiya ukiimbwa hali iliyodhihirisha kutofahamika miongoni mwa wadau
Huyu mwandishi Erick Nsengiyumva kutoka Burundi(kulia) alionekana kujaribu
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka nchi za EAC wakiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa EAC,Dk Enos Bukuku
Dk Bukuku akiagana na waandishi baada ya kufungua
Washiriki wa mafunzo wakifatilia kwa makini.Picha zote na Filbert Rweyemamu
No comments:
Post a Comment