RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Katibu Mkuu wa ZATU Mussa Omar Tafurwa, alipowasili
katika viwanja vya Wizara habari kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa
Chama cha Walimu Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwahutubia Walimu wakati wa hafla ya Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama cha
Walimu Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la
Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar wakati wa ufunguzi huo
BAADHI
ya Walimu wa Chama cha Walimu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua
mkutano wa Sita uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la
Wawakilishi kikwajuni Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwa viongozi wa meza kuu wakiimba wimbo wa wafanyakazi wa solidariti
foreva wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama cha Walimu
Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi
kikwajuni Zanzibar
WANAFUNZI
wa Skuli ya Msingi Kisiwandui wakicheza ngoma ya mwanandege wakati wa
ufunguzi huo wa mkutano mkuu wa chama cha walimu Zanzibar.
RAIS w
Chama cha Walimu Zanzibar Seif Mohammed akisoma risala ya Chama hicho
wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama hicho wakati wa
ufunguzi huo uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar
BAADHI
ya Wanachama wa Chama cha Walimu Zanzibar wakifuatilia hutuba ya
ufunguzi ya ufungunguzi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa ufunguzi wa mkutano huo leo
uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni
Zanzibar.
KAIMU
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia ni Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.
Mahmoud Thabit Kombo, akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha
Walimu Zanzibar kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kuufungua mkutano huo.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akionesha picha ya sura yake aliokabidhiwa zawadi na Chama cha Walimu
Zanzibar wakati wa hafla ya Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama hicho
uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi kikwajuni
Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha Walimu Zanzibar
baada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Chama hicho uliofanyika
katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Rais wa Chama cha Walimu Tanzania Bara. Leiya Ulaya,
wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Walimu Uganda Tumuhimbise
Zadock, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu
Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi
kikwajuni
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Mwakilishi wa Chama cha Walimu kutoka (DLF) Flemming
Sorrensen, baada ya hafla ya uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha
Walimu Zanzibar.Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment