RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akihutubia na kulifungua Kongamano la Warsha ya Uelewa Juu ya Mamlaka
Itakayosimamia Viwanda Vidogo vidogona Vya Kati (SMIDA) hafla hiyo
imewashirikisha Wajasiriamali mbalimbali wa Zanzibar iliofanyika katika
ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi kikwajuni Zanzibar.(Pcha na
Ikulu)
KATIBU
Mkuu Wizara ya Viwanda na Masoko Zanzibar Juma Ali Juma akizungumza
kitaalamu juu ya Uelewa Juu ya Mamlaka ya Itakayosimamia Viwanda Vidogo
vidogo Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza kikwajuni
Zanzibar.
Mkurugenzi
Mkuu wa SIDO Tanzania Profesa Sylvester M Mpanduji, akitowa maelezo juu
ya umuhimu wa uaznzishaji wa Viwanda Vidogo vidogo kwa wajasiriamali
wakatikwa warsha hiyo ilioandaliwa na Wizara ya Biashara Viwanda na
Masoko Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la
wawakilishi Kikwajuni.
WAZIRI
wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali,
akitowa maelezo ya hafla hiyo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein kulifungua
Kongamano hilo.
BAADHI
ya Wajasiliamali wa Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo wakati wa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akifufunga Warsha hiyo ililofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la
wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
BAADHI
ya wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua
Kongamano la Warsha la Kutoa Uelewa Juu ya Mamlaka Itakayosimamia
Viwanda Vidogo vidogo na vya Kati (SMIDA) lililoandaliwa na Wizara ya
Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa
Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Waziri wa Biashara
Viwanda na Masoko Mhe. Balozi Amina Salum Ali Katibu Mkuu Kiongozi Dk.
Abdulhamid Yahya Mzee na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe
Ayoub Mohammed Mahmoud wakiwa katika picha ya pamoja na Watoa Mada wa
Warsha Hiyo baada ya kufunguliwa.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,Spika wa Baraza
la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid, Katibu Mkuu Kiongozi Dk.
Abdulhamid Yahya Mzee, na kulia Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko
Mhe. Balozi Amina Salum Ali, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.
Abdallah Juma Mabodi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.
Ayoub Mohammed Mahmoud wakiwa katika picha ya pamoja na Wajasiriamali
wenye viwanda Zanzibar .
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,Spika wa Baraza
la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid, Katibu Mkuu Kiongozi Dk.
Abdulhamid Yahya Mzee, na kulia Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko
Mhe. Balozi Amina Salum Ali, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.
Abdallah Juma Mabodi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.
Ayoub Mohammed Mahmoud wakiwa katika picha ya pamoja na
Wajasiriamali.Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment