Pages

November 25, 2017

KATIBU MKUU WA CCM AFUNGA KAMPENI KATA YA MURIET JIJINI ARUSHA APOKEA WANA CHADEMA 91.

Katibu wa CCM,Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Kata ya Muriet jijini Arusha wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani wa Kata hiyo leo,amewataka wananchi kuwachagua wagombea wa CCM kwenye Kata 43.

Aliyekua Kada ya Chadema akiwa ameshika kadi  na bendera za chama hicho baada ya wanachama 91 kurejea CCM.

Wafuasi wa CCM wakifurahia hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana.

Wakili Albert Msando akiunguruma kwenye mkutano huo.

Katibu wa CCM,Abdulrahman Kinana akipokea kadi za Chadema baada ya kupokea wanachama wapya 91 waliojiunga na CCM leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...