MWENYEKITI
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe
akifungua mkutano wa Baraza Kuu la Chama hicho mjini Dodoma Jumamosi.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk Vincent Mashinji akizungumza
Mwenyekiti wa CHADEM, Freeman Mbowe akisoma taarifa za chama.
Wajumbe wakiimba Wimbo wa Taifa
Dua ilifanyika kabla ya kuanza mkutano huo.
Wajumbe wakiwa mkutanoni
Wajumbe ambao ni Wabunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Dodoma, Dk Immaculate Sware (kushoto) na Devotha Minja wa Morogoro. Picha zote na Mroki Mroki.
No comments:
Post a Comment