Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa
ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye
katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha AICC, Jijini Arusha. Semina hiyo, itafuatiwa na Mkutano Mkuu wa 22
wa Wanahisa wa Benki hiyo, utakaofanyika kesho Mei 20, 2017.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akizungumza
wakati wa ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo
kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.Semina hiyo, itafuatiwa na Mkutano
Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki hiyo, utakaofanyika kesho Mei 20, 2017.
Mwenyekiti wa semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB, Mwasajuni akiongoza semina hiyo
Meja kuu ikifatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwa wanahisa.
Muwasilisha
Mada ya iliyohusu Mambo yananoathiri Thamani na Bei za Hisa katika
Soko, Laurian Malauri kutoka Orbit Securities akisisitiza jambo wakati
akiwasilisha mada yake hiyo.
Katibu
wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akipitia moja ya vitabu vya mada
mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye semina ya Wanahisa wa Benki
hiyo, iliyofanyika leo
kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa Masoko, Utafitii na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB PLC, Tully
Mwambapa akifatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye
semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo
kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Naibu
Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya CRDB PLC, Saugata Bandyopadhyay
(kulia) na Esther Kitoka wakiteta jambo, wakati wa ufunguzi wa semina ya
Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo
kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment