Mgeni
Rasmi katika ufunguzi wa Semina ya Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii,
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akilakiwa na Spika Mstaafu wa Bunge
la Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
(NHIF), Anne Makind, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi
(WCF), Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,
William Erio pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya (NHIF), Bernard Konga wakati alipowasili tayari wa ufunguzi wa
Semija hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold
Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuiya
ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini
(TSSA), Meshack Bandawe.
Mkuu
wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza wakati akifungua Semina ya
Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), iliyofanyika kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza wakati akifungua Semina ya Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii,
iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini
(TSSA), iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest,
Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Makamu
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini
(TSSA), akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho
Gambo kufungua semina hiyo, itakayowajengea uwezo Wajumbe wa Bodi ya
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, kuhusu sekta ya Viwanda kuwa kama fursa ya
Uwekezaji, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold
Crest,
Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Makamu
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini
(TSSA), akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho
Gambo kufungua semina hiyo, itakayowajengea uwezo Wajumbe wa Bodi ya
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, kuhusu sekta ya Viwanda kuwa kama fursa ya
Uwekezaji, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold
Crest,
Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini
(TSSA), Meshack Bandawe akizungumza machache wakati akitoa muongozo wa
Semina hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold
Crest,
Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Mfuko wa Hifadha ya Jamii Zanzibar, Dkt. Suleiman Rashid
Mohammed akitoa neno la shukrani kwa niaba ya washiriki wenzake wa
semina hiyo.
Spika
Mstaafu wa Bunge la Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi Mfuko wa Taifa wa
Bima ya Afya (NHIF), Anne Makinda akiwa katika Semina hiyo.
No comments:
Post a Comment