Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge, Vijana Ajira na Walemavu,
Jenista Mhagama, akitoa hotuba yake wakati akifunga Mkutano wa 26 wa
mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko Pensheni wa PPF uliokuwa na kauli
mbiu ya "Tanzania ya Viwanda, Umuhimu na Wajibu wa Mifuko ya Hifadhi ya
Jamii", uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Simba uliopo
ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Kamishna
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa, akizungumza
machache katika Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko
Pensheni wa PPF
uliokuwa na kauli mbiu ya "Tanzania ya Viwanda, Umuhimu na Wajibu wa
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii", uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika
Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
AICC, Jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko Pensheni wa PPF, Ramadhan Khijjah
akizungumza wakati akitoa shukrani wa viongozi na washiriki wengine wa
Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko Pensheni wa PPF,
uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika
Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
AICC, Jijini Arusha.
Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Daniel Gabriel Daqarro akichangia moja ya mada
zilizowasilishwa katika Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa
Mfuko Pensheni wa PPF, uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika
Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
AICC, Jijini Arusha.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko Pensheni wa PPF, William Erio akizungumza katika Mkutano
wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko Pensheni wa PPF, uliokuwa
ukifanyika kwa siku mbili katika
Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
AICC, Jijini Arusha.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge, Vijana Ajira na Walemavu,
Jenista Mhagama akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko
Pensheni wa PPF, Ramadhan Khijjah wakati wakijadiliana jambo, katika
Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko Pensheni wa PPF,
uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika
Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
AICC, Jijini Arusha.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (TSSA), Meshack Bandawe
akizungumza wakati alipowasilisha taarifa ya maendeleo ya mifuko
mbalimbali, katika Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko
Pensheni wa PPF, uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika
Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
AICC, Jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment