Pages

September 29, 2013

SHULE YA SEKONDARI EMBARWAY,NGORONGORO WAAHIDI MAKUBWA KWENYE MITIHANI YAO

Mbunge wa Ngorongoro,Saning'o Telele,Mwenyekiti wa Baraza za wafugaji Ngorongoro,Metui Ole Shaudo na Mkuu wa shule ya Sekondari Embarway wakifatilia maonesho ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 10 ya shule hiyo .

Mbunge wa Ngorongoro,Saning'o Telele,Mwenyekiti wa Baraza za wafugaji Ngorongoro,Metui Ole Shaudo na Mkuu wa shule ya Sekondari Embarway wakifatilia maonesho ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 10 ya shule hiyo .

Wahitimu wakiwa kwenye mahafali hayo

Kwaherini tumemaliza miaka minne

Wahitimu wakiimba nyimbo za kushukuru walimu wao na wafadhili kwa ujumla.
Burudani kutoka kwa Wadatoga ilitia fora

Wazazi,ndugu jamaa na marafiki wakifatilia mahafali hayo
Mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa Ngorongoro,Saning'o Telele akizungumza na wahitimu,wazazi na wageni kwa ujumla juu ya umuhimu wa elimu kwa jamii ya wafugaji na watanzania kwa ujumla.
Mkuu wa shule ya Sekondari Embarway akizungumza mafanikio ambayo shule hiyo imeyapata kwa kipindi kifupi na mikakati yao ya kuhakikisha wanaondoa daraja la nne na sifuri kwenye matokeo ya kidato cha nne. 

Mmoja wa wahitimu akipokea cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne katika shule hiyo ambayo jumla ya wahitimu 229 wanatarajiwa kufanya mitihani yao ya kumaliza mwezi ujao Picha zote na www.rweyemamuinfo.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...