Afisa
Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Anna
Nguzo akisalimia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala ambaye alikuwa mgeni
rasmi katika Maonyesho ya 13 Wajasiriamali Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
yaliyofanyika katika Viwanja vya City Garden jijini Mbeya. PICHA NA
KENNETH NGELESI.
Kaimu
Meneja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Mbeya,
Yohana Mwambilija, akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos
Makalla (kulia) alipotembelea banda la shirika hilo wakati wa ufunguzi
wa Maonyesho ya 13 ya Wajasiriamali Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
Mkaguzi
wa NSSF Mkoa wa Mbeya Bupe Mwantole akimkabidhi mwanachama mpya fomu ya
kujiunga na NSSF wakati wa maonyesho ya 13 ya wajasiriamali jijini
Mbeya.
Afisa
Masoko na Uhusiano wa NSSF, Anna Nguzo akimkabidhi fomu mwanachama
aliyefika katika banda la shirika hilo kwa ajili ya kupata huduma kwenye
maonyesho ya 13 ya wajasiriamali jijini Mbeya.
Mkaguzi
wa Shirika la Hifadhi ya Taifa ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Mbeya wa (pili
kulia) akimjazia fomu mteja aliyefika kwenye banda la shirika hilo
wakati wa maonyesho ya 13 ya wajasiriamali jijini Mbeya.
Afisa
Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Anna
Nguzo akitoa maelezo kwa watu waliopita katika banda la NSSF wakati wa
maonyesho ya SIDO mkoani Mbeya.
No comments:
Post a Comment