Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Meneja wa Kiwanda cha sukari cha
Kagera, Ashuwin Rana baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha sukari cha
Mtibwa baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha sukari cha Mtibwa Agosti
2, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephene Kebwe na
wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Kagera Sugar na Mtibwa
Sugar, Seif Ali Seif .
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha
sukari cha Mtibwa kukagua uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho,
Agosti 2, 2016. Kulia ni mkewe Mary, wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa
wa Morogoro, Dkt. Stephene Kebwe na Wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa
Kiwanda cha sukari cha Kagera na Mtibwa, Seif Ali Seif . Kushoto ni
Kaimu Katibu wa CCM mkoa Wa Morogoro, Kulwa Solobi.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la mtambo wa maji ya kumwagilia
katika shamba la miwa la kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati
alipokitembelea kiwanda hicho, Agosti 2, 2016. Kushoto ni mkewe Mary
na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera na
Mtibwa, Seif Ali Seif .
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la mtambo wa maji ya kumwagilia
katika shamba la miwa la kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati
alipokitembelea kiwanda hicho, Agosti 2, 2016. Kushoto ni mkewe Mary
na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera na
Mtibwa, Seif Ali Seif.
Waziri
Mkuu, Kassimu Majaliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wafanyakazi wa
kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati alipotembelea kiwanda hicho Agosti
2, 2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Stephene Kebwe.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari
cha Mtibwa wakati alipokitembelea kiwanda hicho Agosti 2, 2016. (Picha
na ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment