Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohammed
Janabi akizungumza na mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini
Tanzania. Kulia ni Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Edzai Chimonyo.
Mabalozi hao wameitembelea taasisi hiyo ili kuona shughuli mbalimbali za
kitibabu na wamehahidi kuwenda kupatiwa matibabu kwenye taasisi hiyo
badala kwenda nchi nyingine ikiwamo Afrika Kusini kupatiwa huduma za
magonjwa ya moyo.
Mabalozi
wa nchi za Afrika nchini Tanzania wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohammed Janabi baada
ya kuitembelea taasisi hiyo LEO.
Profesa Janabi akizungumza na mabalozi katika taasisi hiyo LEO.
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano na mabalozi kwenye taasisi hiyo LEO.
Mabalozi hao wakiwa katika chumba cha upasuaji.
Mabalozi hao wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa taasisi hiyo.
Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
No comments:
Post a Comment