Katibu
Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando (wa tatu kushoto)
pamoja na Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi.
Vicky Bishubo (wa pili kulia) wakionesha ujumbe wa maadhimisho mara
baada ya kuzindua hafla ya maadhimisho ya siku ya walimu 'Teachers Day'.
Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa
semina ya masuala anuai ya kibenki.Katibu
Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando ambaye ni mgeni rasmi
akizungumza na walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania jijini Dar
es Salaam katika maadhimisho ya siku ya walimu 'Teachers Day', Benki ya
NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya
masuala anuai ya kibenki.Meneja
wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo
akizungumza na walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)
jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya walimu 'Teachers
Day', Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na
kuwapa semina ya masuala anuai ya kibenki.[/caption] [caption
id="attachment_74342" align="alignnone" width="800"]Augustino
Mbogela Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya NMB
akizungumza na walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)
jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya walimu 'Teachers
Day', Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na
kuwapa semina ya masuala anuai ya kibenki.Katibu
Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando ambaye ni mgeni rasmi
akizungumza na walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania jijini Dar
es Salaam katika maadhimisho ya siku ya walimu 'Teachers Day', Benki ya
NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya
masuala anuai ya kibenki.Katibu
Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando (mwenye gauni jeusi)
ambaye ni mgeni rasmi katika shughuli hiyo akipiga picha ya pamoja na
baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa NMB kwenye maadhimisho ya siku ya
walimu 'Teachers Day'. Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika
maadhimisho hayo na kuwapa semina ya masuala anuai ya kibenki.Katibu
Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando akiagana na baadhi ya
viongozi wa UWT na NMB mara baada ya kuzindua hafla hiyo ya 'Teachers
Day'.Baadhi
ya walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) jijini Dar es
Salaam na maofisa wa NMB wakiwa katika maadhimisho ya siku ya walimu
'Teachers Day'. Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho
hayo na kuwapa semina ya masuala anuai ya kibenki.
No comments:
Post a Comment