Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akimuapisha Mh. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akimkabidhi hati
ya kiapo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mwigulu Nchemba mara
baada ya kumuapisha Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Charles Tizeba kuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akisaini hati ya
kiapo mara baada ya kumuapisha Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt.
Charles Tizeba Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba na Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba wakipongezana mara baada ya kuapishwa Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akimpongeza Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba mara baada ya kumuapisha Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akimpongeza Waziri
wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba mara baada ya kumuapisha Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi Mh. Mwigulu Nchemba.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba
(kulia) na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba mara
baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es Salaam.PICHA NA HASSAN
SILAYO-MAELEZO
No comments:
Post a Comment