Wabunge wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni wakitoka nje ya ukumbi wa
Bunge mara baada ya kumalizika kwa sala ya kuliombea Bunge mjini
Dodoma na wakiendelea na msimamo wao wa kutomtambua Naibu Spika wa
Bunge, Dkt. Tulia Ackson.
Mbunge wa Ukonga (CHADEMA) Mhe. Waitara Mwikwabe akiwa pamoja na
Mbunge wa Same Mashariki (CHADEMA) Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (katikati) na
Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Mary wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge hilo mjini Dodoma kuendeleas na msimamo wao wa wao wa kutomtambua
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.
Mbunge wa Igunga (CCM), Dkt. Dalali Kafumu akibadilishana mawazo na
Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Mariam Msabaha (kushoto) na Lucy
Magereli (katikati) mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Bunge hilo mjini Dodoma.
Mbunge wa Igunga (CCM), Dkt. Dalali Kafumu akibadilishana mawazo na
Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Mariam Msabaha (kushoto), Lucy
Magereli na Mbunge wa Tarime Mjini (CHADEMA), Ester Matiku mara baada ya
kumalizika kwa kikao cha asubuhi cha Bunge hiloi leo mjini Dodoma.
Mbunge wa Igunga (CCM), Dkt. Dalali Kafumu akibadilishana mawazo na
Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Mariam Msabaha (kushoto), Lucy
Magereli na Mbunge wa Tarime Mjini (CHADEMA), Ester Matiku mara baada ya
kumalizika kwa kikao cha asubuhi cha Bunge hilo mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje, ushirikiano wa afrika mashariki na
Kikanda, Mhe. Susan Kolimba, akisalimiana na Mbunge wa Muleba Kusini, Mhe.
Anna Tibaijuka mara baada ya kumalizika kwa kikao cha asubuhi cha Bunge hilo mjini Dodoma.
Wabunge wa CCM kutoka kushoto Sadifa Juma (Donge), Augustine Vuma (Kasulu
Kusini) na Innocent Bilakwate (Kyerwa) wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi
wa Bunge mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa kikao cha asubuhi cha
Bunge hilo .
(PICHA NA ISMAIL NGAYONGA)
No comments:
Post a Comment