Florian & Beatrice hongereni sana,Mungu awatangulie katika safari nzuri mliyoianza.
Msafara wa magari uliouthuria katika sherehe iyo
Wakiwa wanaonyesha furaha katika siku yao hii ambayo awataisahau katika historia ya maisha yao
wakionyesha uthibitisho wao wa kuuaga maisha ya ukapera
No comments:
Post a Comment