Wahariri na waandishi wa habari kutoka maeneo mbalimbali nchini wakielekea kutalii na kujifunza kwenye Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saa Nane jijini Mwanza leo. |
Mwandishi wa TBC mkoa wa Manyara,Ben Mwaipaja akiweka Kamera yake vizuri kuchukua matukio |
Wahariri na waandishi waklwasili Kisiwani Saa Nane |
Mdau wa Kampuni ya Kili Ink,Anwary Msechu akiwa kazini kuchukua kumbukumbu ya ziara nzima. |
Mwandishi wa habari Radio Free Afrika ,Casilda Mgeni Mlimila akiwaongoza wenzake kutembelea vivutio vya Kisiwa cha Saa Nane. |
Jiji la Mwanza limezungukwa na mawe makubwa ambayo ni kivutio kikubwa kwa wageni wanaotembelea . |
Habari picha na www.rweyemamuinfo.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment