Mbunge James Mbatia akitoa maelezo yake kwa mmoja wa maofisa wa zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kupita mfumo wa BVR. |
Mbunge James Mbatia akichukuliwa alama za vidole wakati wa zoezi la uandikishaji katika kijiji cha Kwamare kata ya Kirua Vunjo. |
Mh Mbatia akitia saini katika kifaa kimoja wapo kwa ajili ya kuweka kumbukumbu. |
Mh Mbatia akiweka vidole gumba kwa ajili ya kuchukuliwa alama. |
Afisa uandikisha akimkabidhi Mh Mbatia kitambulisho chake mara baada ya kumaliza zoezi la uandikishaji. |
Mh Mbatia akionesha kitambulisho maalumu kwa ajili ya zoezi la kupiga kura litakalofanyika hapo baadae mwezi Oktoba. |
No comments:
Post a Comment