Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
akipeana mkono na Bw.Damian Zefrini Lubuva baada ya kumvalisha Nishani
ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili katika hafla
iliyofanyika jana viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam katika
kusherehekea miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimvalisha
nishani Bw.Aboud Talib Aboud wakati wa hafla ya kutunuku Nishani ya
kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu katika viwanja vya
Ikulu Jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni kusherehekea miaka 51 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akivalisha
Nishani Bw,Mohammed Seif Khatibu wakati wa hafla ya kutunuku Nishani ya
kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu katika viwanja vya
Ikulu Jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni katika kusherehekea miaka 51 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Makamo wa Rais wa jamhuri ya Muungano Dk.Mohammed gharib Bilali pamoja
na Viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika
hafla ya sherehe ya utoaji wa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya
Muungano Daraja la Pili,Tatu na Nne jana katika viwanja vya Ikulu Jijini
Dares Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
akimvalisha Cpl Laura Philip Mushi Nishani ya Ushupavu wakati wa
utoaji wa Nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Madaraja mbali
mbali katika hafla iliyofanyika jana viwanja vya Ikulu Jijini Dar es
Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na
Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania wakisimama wakati
wimbo wa taifa ukipigwa baada ya kumalizika hafla ya sherehe ya utoaji
wa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili,Tatu na
Nne jana katika viwanja vya Ikulu Jijini Dares Salaam
Miongoni
mwa Wananchi na Viongozi walioteuliwa kutunikiwa nishani ya Kumbukumbu
ya Miaka 50 ya Muungano wa madaraja mbali mbali wakiwa katika viwanja
vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kabla ya kutunikiwa nishani zao,[Picha na
Ikulu,]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) na makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na
Viongozi wengine wakiwa katika sherehe za utoaji wa nishani ya
Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano wa madaraja mbali mbali katika
viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam jana
Miongoni
mwa Viongozi na Wananchi walioteuliwa kutunikiwa nishani ya Kumbukumbu
ya Miaka 50 ya Muungano wa madaraja mbali mbali wakiwa katika viwanja
vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kabla ya kutunikiwa nishani zao ikiwa ni
katika kusherehekea miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
jana,[Picha na Ikulu,]
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
akimvalisha Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid Nishani
ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili katika hafla
iliyofanyika jana viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
akimvalisha Bw.Mabrouk Jabu Makame Nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya
Muungano Daraja la Pili katika hafla iliyofanyika jana viwanja vya
Ikulu Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment