Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa
Habari, iliyofanyika jana usiku April 24, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani
City, jijini Dar es Salaam.

akimkabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milion tatu na Laki Nane (M.3.8)
mshindi wa jumla katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi
wa Habari (EJAT), Mwandishi wa habari wa Gazeti la Mwananchi, Mkinga
Mkinga, wakati wa hafla hiyo ya utoaji tuzo iliyofanyika kwenye Ukumbi
wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, jana usiku Aprili 24, 2015.
Kushoto ni Rais wa Baraza la Habari Tanzania, Jaji Mstaafu Robert Mihayo
na Generali Ulimwengu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milion tatu na Laki Nane (M.3.8)
mshindi wa jumla katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi
wa Habari (EJAT), Mwandishi wa habari wa Gazeti la Mwananchi, Mkinga
Mkinga, wakati wa hafla hiyo ya utoaji tuzo iliyofanyika kwenye Ukumbi
wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, jana usiku Aprili 24, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa
Habari, iliyofanyika jana usiku April 24, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani
City, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo mshindi wa pili wa jumla katika kinyang’anyiro cha
Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT), Mwandishi wa habari wa
Gazeti la The Citizen, Lucas Liganga, wakati wa hafla hiyo ya utoaji
tuzo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam,
jana usiku Aprili 24, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa
Habari, iliyofanyika jana usiku April 24, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani
City, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi mfano wa Hundi ya Sh. Milioni kumi (M. 10) Mwandishi wa
habari wa siku nyingi mkongwe, Generali Ulimwengu, wakati wa hafla hiyo
ya utoaji tuzo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es
Salaam, jana usiku Aprili 24, 2015. Kushoto ni Rais wa Baraza la Habari
Tanzania, Jaji Mstaafu Robert Mihayo na (kulia) ni Mke wa Generali
Ulimwengu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa
Habari, iliyofanyika jana usiku April 24, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani
City, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na wanahabari waliopata Tuzo za Umahiri wa
Uandishi wa habari, zilizotolewa jana usiku Aprili 24, 2015 wakati wa
hafla hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es
Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na wanakamati wa maandalizi wa hafla hiyo
baada ya kumalizika hafla hiyo kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar
es Salaam jana usiku Aprili 24, 2015.
No comments:
Post a Comment