Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akihotubia leo mjini Songea wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mbio
za Mwenge wa uhuru zilizofanyika kitaifa mkoani Ruvuma.
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya
Songea Profesa Norman Sigalla King(kulia) Mwenge wa Uhuru uhuru kwa
ajili ya kuanza mbio wilayani humo baada ya uzinduzi ulifanywa leo mjini
Songea na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dkt. Ali Mohamed Shein akihotubia leo mjini Songea.
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge kwa mwaka 2015 Juma Khatibu Chum(kushoto) akimkabidhi
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(kulia) Mwenge wa uhuru leo
mjini Songea baada ya uzinduzi wa mbio hizo Kitaifa mkoani Ruvuma.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein (kushoto)akimkabidhi Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa Juma
Khatibu Chum (kulia) Mwenge wa uhuru leo mjini Songea baada ya uzinduzi
wa mbio hizo Kitaifa mkoani Ruvuma.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akiwasha Mwenge wa uhuru leo mjini Songea katika Uwanja wa
Majimaji ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge kwa
mwaka 2015. Picha na Frank Shija na Tiganya Vincent, Songea.
No comments:
Post a Comment