Pages

December 13, 2014

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR. ALI MOHAMMED SHEIN MGENI RASMI TUZO ZA TASWA USIKU HUU

0001
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akikabidhi tuzo ya heshima ya mwanamichezo bora wa mwaka kwa Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyotolewa na Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Usiku huu, Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA Bw. Juma Pinto.)
003
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akisoma hotuba yake mara baada ya kukabidhi tuzo hiyo kwa Mama Fatma Karume Mjane wa Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Usiku huu.

0002
Mama Fatma Karume Mjane wa Marehemu Mzee Abeid Amani Karume akitoa nasaha zake kwa wanamichezo usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA Bw. Juma Pinto na Maulid Kitenge Mtangazaji wa Redio ya EFM ambaye alikuwa MC wa hafla hiyo.
001

Waziri wa Habari , Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara akikabidhi tuzo ya mwanamichezo bora wa mwaka katika mchezo wa wa kulipwa katika mchezo wa gofu Hassan Kadilo.
002

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Bw. Jamal Malinzi akikabidhi tuzo ya mwanamichezo bora chipukizi wa mwaka katika mchezo wa gofu Nuru Molel
0003

Waziri wa Habari , Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara akimkaribisha Rais Dr. Shein ili aongee na wanamichezo.
1 
Rais wa 
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akiwa katika ukumbi wa Diamond Jubelee na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA Bw. Juma Pinto, 2 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akiwa katika ukumbi wa Diamond Dr. Fenella Mukangala Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kushoto na kutoka kulia ni Mama Fatma Karume na Juma Pinto Mwenyekiti wa TASWA. 3 Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA Bw. Juma Pinto akitoa hotuba yake kwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohamed Shein. Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika4 5 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga katikati Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF Bw. Jamal Malinzi na Mkurugenzi wa Idara ya habari Maelezo Bw. Assah Mwambene wakiwa katika hafla hiyo.

 6 

Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga katikati kutoka kulia ni Leonald Thadeo Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari , Utamaduni na Michezo Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF Bw. Jamal Malinzi na Mkurugenzi wa Idara ya habari Maelezo Bw. Assah Mwambene wakiwa katika hafla hiyo.7 

 Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion kushoto ni kulia ni Mwenyekiti wa Azam FC mzee Said Mohamed Said na wageni wengine wakiwa katika hafla hiyo.8
10

Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo.
(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...