Ajali mbaya ya ndege imechukua maisha ya mchungaji, familia yake pamoja na watu wengine sita siku ya Jumapili Novemba 9.
Mchungaji huyo Dkt. Myles Munroe ambaye
ni mwanzilishi wa kanisa la Bahamas Faith Mininstries International,
amepata ajali hiyo akiwa na mtoto wake mmoja, mke wake pamoja na watu
wengine sita ambao waliokuwa wanasafiri kwenda Grand Bahama kwa ajili ya
tamasha la Global Leadership Forum lililopangwa kufanyika siku ya leo
Novemba 10.
No comments:
Post a Comment