Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge
wa
Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa
katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali
ya AMI jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro) |
No comments:
Post a Comment