Dakika chache zilizopita wakati basi la
klabu ya Yanga likiwa linaingia katika uwanja wa sokoine mjini Mbeya
limeshambuliwa na mashabiki wanaodhaniwa kuwa wa Mbeya City kwa kupigwa mawe,
kitu kilichopelekea vioo vya gari hilo kupasuka.
Mpaka sasa hakuna taarifa kama kuna mchezaji yoyote wa klabu hiyo aliyejeruhiwa.
Mpaka sasa hakuna taarifa kama kuna mchezaji yoyote wa klabu hiyo aliyejeruhiwa.
No comments:
Post a Comment